Water Service
News
MAY
25
2024
Naibu waziri wa sekta ya maji Mhe Mhandisi Kundo Mathew amewapongeza watumishi wa sekta ya maji mkoani Morogoro kwa kufanya kazi kwa bidii na kuifanya sekta hiyo kuwa ni msaada wa upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro.
MAY
20
2024
MORUWASA imetembelewa na wawakilishi kutoka EWURA Kanda ya Kati ambao wamefika kwa lengo la kutekeleza majukumu yao ya kiudhibiti katika Mamlaka yetu ikiwa ni pamoja na kukagua utekelezaji wa majukumu yetu.
MAY
18
2024